Jumatano, Agosti 17

Fahamu kuhusu kupasuka kwa Nyayo(visigino).sababu na suluhisho.

Kuwa na miguu au visigino vilivyopasuka (gaga au machacha) ni moja ya sababu inayoweza kuonyesha kuwa katika mwili kuna upungufu wa virutubisho kadhaa, vitamini au madini.
Japo wengi wetu tumekuwa na mitazamo kwamba, visigino kupasuka ni ishara ya
mtu kutojali usafi wa miguu yake, ila mpenzi msomaji leo napenda kukushirikisha mambo kadhaa kuhusu mtu kupasuka visigino.
Kwa kawaida, ngozi zetu huwa zina unyevunyevu ambao huiwezesha ngozi ivutike au kutanuka pamoja na kusinyaa bila ya kutokea madhara yoyote kama vile kuchanika. Pamoja na ngozi kugawanyika katika sehemu tatu ( sehemu ya nje
– Epidermis, sehemu ya kati – Dermis na sehemu ya ndani –  Endodermis), ni sehemu ya nje, epidermis, ambayo ipo karibu na unaweza kuigusa au inaweza kuathirika na ukaiona kirahisi, na hii ni kwa sababu inagusana moja kwa moja na mazingira yetu. Gaga huanza hutokea katika sehemu hii ya ngozi, Epidermis.
Miongoni mwa sababu
zinazoweza kumfanya mtu apasuke visigino ni pamoja na:
Ngozi kuwa kavu sana, hii ni sehemu ya nje ya ngozi ambayo inawezekana mtu kwa asili yake akawa na ngozi kavu na hivyo kuifanya ishindwe kustahimili kutanuka au kusinyaa na hivyo kupelekea ipasuke.
Kuiweka miguu katika maji kwa muda mrefu na baadae kutoipaka mafuta ya kulainisha ngozi, hii husababisha ile asili ya ngozi pamoja na mafuta katika ngozi yapotee na kuiacha ngozi ikiwa kavu sana.
Kuwa na uzito mkubwa, hii husababisha presha kubwa iwe katika miguu unapokanyaga na endapo ngozi yako haitokuwa na uimara wa kutosha itasababisha visigino vipasuke. @happinessmassage ndio suluhiso lako wanafungua siku zote kuanzia asubuhi saa 2 mpaka saa tatu usiku.
Tufollow page yetu
@happinessmassage
@happinessmassage
@happinessmassage Au / or what's app
0715-343161
0715-343161
0715-343161
0787-343161
0787-343161
0787-343161  fanya booking mapema kuondoa msongamano, happiness we bring back your happy
Tunapatikana LAMADA HOTEL, ILALA DSM.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni