Alhamisi, Oktoba 5

Miguu/ Mikono kuwaka moto na ganzi ( Peripheral Neurapathy)




Tatizo la maumivu ya miguu au mikono na ganzi (Peripheral neuralpathy) hutokana na matatizo katika mfumo mdogo wa fahamu ambao huchukua taarifa kutoka sehemu mbalimbaili za mwili na kupeleka katika Ubongo kwa ajili ya kutafsiri na kutoa mwitikio stahiki. Tatizo hili husababisha Neva zilizo katika ncha za vidole hushindwa kupeleka taarifa hizo iusahihi, Kwa mfano zinaweza zikapeleka hisiia za maumivu hali ya kuwa hakuna kitu chochote kinachosababisha maumivu, Pia zinaweza zisipeleke taarifa za maumivu hata kama kuna kitu kinaumiza katika mguu au mkono-Hii ni hatari zaidi kwani mtu anaweza kuungua moto na asipate hisia zozote za maumivu.


SABABU
Tatizo hili husababishwa na Sababu mbalimbali katikaa mwili. Kila sababu ina dalili zake na ina matibabu yake.
1.     Mrundikano wa sumu mwilini.
2.     Lishe duni hususani, Upungufu wa Vitamin B mwilini.
3.     Unywaji pombe kupita kiasi.
4.      Kisukari, Watu wengi wenye kisukari hupata kwa urahisi tatizo la peripheral neuralpathy
5.     Matumizi ya baadhi ya dawa kama vile dawa za TB na HIV/AIDS huweza kusababisha tatizo la peripheral neuralpathy
6.     Tatizo la Neva la kurithi ingawa hii hutokea mara chache sana.

7.      

DALILI ZA UGONJWA HUU
·        Kuhisi kama kuna kitu chenye ncha kali kinakuchoma. Maumivu haya huweza kuwa ya muda hadi muda na wakati mwingine huwa ya kushtua.
·        Ganzi ya mikono au miguu. Ni kawaida Kwa watu wenye tatizo hili kupata ganzi ya viungo yaani mikono au miguu na hii hupelekea kushindwa kutembe iwapo ganzi ni ya miguuni au kushika vitu iwapo ganzi ni ya mikononi.
·        Kupoteza huwezo wa kuhisi vichocheo. Mfano joto
·        Kuhisi kama mguu au mkono unaungua

ATHARI ZA PERIPHERAL NEURALPATHY
Tatizo linapokaa Kwa muda mrefu bila ya kutibiwa hueza kupelekea kutokea Kwa matatizo makubwa zaidi ya kiafya kwa mgonjwa. Athari hizi hutegemea ni aina gani ya neva imeathirika. Matatizo yanayoweza kusababishwa na tatizo hilo ni:-
       Kama tatizo lipo kwenye Neva za sensori (hizi ni neva zinazopokea vichocheo vya joto, baridi na presha), Athari zinaweza kuwa ni
1.    Maumivu makali ya kuchoma na ganzi
2.    Kushindwa kuhisi joto au baridi.
3.    Kushindwa kuhisi baridi.

Kama Neva zilizoathirika ni Motor nerves, ambazo husaidia katika mjongeo, Huweza kupelekea athari zifuatazo:-
1.    Misuli dhaifu, isiyo na nguvu.
2.    Tatizo la kumeza au kupumua iwapo misuli ya kifua imeathirika
Kama Neva zilizoathirika ni zinazoshughulika na Msukumo wa damu, mapigo ya moyo, mmeng’enyo wa chakula na mfumo wa mkojo, matatizo yafuatayo yanaweza kujitokeza.
1.    Matatizo mfumo wa mmeng’enyaji amabyo yanaweza kupelekea Kuharisha au Kupata choo kwa shida.
2.    Kizunguzungu,
3.    Matatizo ya mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke.
4.    Matatizo ya mfumo wa jasho, unaweza ukatokwa na jasho kiasi kikubwa au kwa uchache.



              SULUHSISHO LA TATIZO
Massage ni suluhisho kamili la tatizo hili, pia tuna dawa maalumu za kufanyia massage zinazomaliza kabisa tatizo la miguu na mikono kuwaka moto na ganzi. Tuna uzoefu katika kutibu tatizo hili na Mmoja wa wahanga wa tatizo hili ambaye ametibiwa kwetu *[Happiness Massage]* na kupona kabisa anaeleza:-

Nashukuru sana Happiness Massage kwa sasa nimepona kabisa tatizo la miguu kuwaka moto, nilienda hospitali kadhaa bila ya mafanikio hadi nikakata tamaa, lakini kupitia nyinyi nimepona kabisa na naendelea na kazi yangu kama kawaida” Mwl. Hemedi [ mwlhemedi@gmail.com]

Happiness Massage | Tunarejesha furaha yako!
Tunapatikana Lamada Hotel-Manyara Apartment No: 27, Ilala Dar Es Salaam.
Simu:📞 0715 343 161
SMS:  0787 343 161
WhatsApp: 0715 343 161/ 0756 343 161

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni