Tafiti zinaonyesha kuwa maumivu ya kichwa yanayosababishwa na msongo wa mawazo, uchovu au kukosa usingizi yanaweza kuondolewa kwa Massage.
Taasisi ya Marekani inayoshugulikia tiba ya Massage( AMTA= American Massage Therapy Association) imeongeza kuwa, Pia massage:-
1.Inaondoa msongo wa mawazo.
2.Inapunguza hasira na.
3.Kurudisha mwili katika hali nzuri ya kiafya.
TUPIGIE Happiness Massage: 0715 343 161 _Kwa huduma bora za Massage_
Imeandaliwa na
-Happiness Massage-
-Happiness Massage-
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni