MASWALI NA MAJIBU

KARIBU SANA MPENZI,RAFIKI NA MSOMAJI WETU WA HAPPINESS  MASSAGE SERVICES

 Hii ni Orodha ya Maswali yanayoulizwa mara kwa mara hapa Happiness Massage Services na Majibu yake.Tafdhali Unashauriwa  kuyapitia vizuri Maswali haya na majibu yake kabla haujauliza Swali.Ikiwa Swali ulilonalo halitakuwepo katika Orodha hii Unaweza kuuliza moja kwa moja kupitia +255 715 343 161

1.Happiness Massage Services ni nini?

   >Happiness Massage Services ni watoaji wa huduma mbalimbali za Kiafya Hususa ni Huduma zinazohusiana na viungo vya mwili,Ngozi na Mifupa.

2.Massage ni nini? 

>Massage(Uchuaji) Ni Tiba ya asili inayohusisha Ukandaji,Usuguaji na Unyambuaji wa sehemu za mwili kwa kutumia mikono,kwa lengo la Kutibu Ugonjwa,Kuondoa Maumivu au Kuuburudisha Mwili.

3.Ni Magonjwa ya aina gani yanaweza kutibika kupitia Massage?

   >Kuna magonjwa mengi sana yanayotibika kupitia Massage kama Ifuatavyo,
Magonjwaya Viungo,Uchovu wa kupitiliza na \Endelevu,Msongo wa mawzo,Stroke,Ganzi ya Viungo au mikono.

4.Je,Kuna huduma za Ngono?

     >HAPANA,Hakuna huduma hiyo,Massage ni Tiba na si Uhuni,Massage haiusiani kabisa na Ngono.Hii inaenda kinyume na Mafundisho ya Kiimani pamoja na Utamaduni Wetu wa Kiafrika.Kwa Pamoja tunatakiwa Kulipiga vita swala hili kwani wapo wanaotumia Mwavuli wa Massage kama njia ya kufanya biashara Ya ngono.

5.Tunaweza kufanyiwa Massage mimi na Mke/Mume wangu Pamoja?

  >NDIO,Kama wewe na mwenza wako mungependa kufanyiwa Massage kwa muda mmoja munaruhusiwa,Si Vibaya hata ukiwa na Familia yako,Huduma zetu zinazingatia Maadili ya hali ya Juu,Hivyo hakutakuwa na tatizo lolote.

Maoni 2 :

  1. Chapisho hili limeondolewa na msimamizi wa blogu.

    JibuFuta
    Majibu
    1. Habaru Goodluck, Tunayo mafuta mazuri ya massage kwa ajili yako. Tupigie 0715 343 161 tukupatie, au Weka Oda kwenye Ukurasa wa Oda hapo juu.

      Futa