DEEP TISSUE MASSAGE

Massage ya aina hii inalenga tabaka za chini za ngozi(endodermis na mikano) ambalo huzunguka misuli,mifupa na viungo.
Sehemu ya juu na chini ya mgongo, na miguu.
UMUHIMU WA DEEP TISSUE MASSAGE.
1.Huondoa maumivu mwilini/sehemu husika.
2.Hutibu magonjwa sugu ya kukaza kwa misuli.
3.Huamsha seli na kuzifanya ziwe hai, Hii ni muhimu sana kwa watu wenye kiharusi na wanaopata ganzi mara kwa mara.
Ni muhimu sana kwao kufanya massage hii kwa kuwa mazoezi bila kulainisha misuli waweza kupata madhara makubwa kupelekea ulemavu hivyo ni muhimu sana ukafanya massage mapema.
Tunapatikana Lamada hotel – Ilala, Dar es Salaam
Simu: 0715 343 161 au 0787 343 161
Instagram: @happinessmassage
Facebook: @Happiness Massage Clinic
‘We bring back your happiness’.
Simu: 0715 343 161 au 0787 343 161
Instagram: @happinessmassage
Facebook: @Happiness Massage Clinic
‘We bring back your happiness’.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni