Jumatano, Agosti 17

SABABU 10 KWA NINI NI MUHIMU UFANYE MASSAGE

Karibu sana mpenzi msomaji, massage(uchuaji) ni njia iliyo bora katika kutibu magonjwa mbalimbali ya mwili/viungo.Makala hii itakufahamisha umuhimu wa wewe kufanya massage. Watu wengi huchukulia kuwa massage ni maalumu kwa watu fulani tu, kumbe si hivyo.
Zifuatazo ni sababu 10 za msingi ,kwa nini ni muhimu ufanye massage
1.Massage huondoa maumivu ya viungo.
2.Massage  huboresha ujongeaji  wa viungo 
kama vile  katika goti.
3.Massage huuweka sawa mzunguko  wa damu mwilini.
4.Massage huondoa msongo wa mawazo.
5.Massage huondoa maumivu ya mara kwa mara ya kichwa.(frequent headache).
6.Massage hupunguza ugumu wa misuli(muscles stiffness).
7.Massage huleta furaha(fun massage),
8.Massage hupunguza(BP) msukumo wa damu.
9.Massage husaidia kuondoa baadhi ya magonjwa ya ngozi.
10.Massage huwasaidia wazee kuwa na Balance ya kutembea.
   KWA SABABU  HIZO  NI MUHIMU KUFANYIWA MASSAGE.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni