Pumu ni miongoni mwa magonjwa sugu ya hewa yanayosumbua idadi kubwa ya watu Duniani hasahasa watoto.
Tatizo hili limekuwa likiongezeka siku hadi siku,
Makala hii fupi inakusudia kutoa Tahadhari ambazo yapasa zichukuliwe kwa mwenye tatizo la pumu.
1.Epuka maeneo yanayochochea shambulizi la pumu kwako kutokana na maelezo ya DAKTARI.
2.EPUKA VIPODOZI NA MANUKATO YENYE HARUFU KALI ambayo yanachochea pumu kwa upande wako.
3.Kula vyakulavyenye asili ya mboga za Majani kama vile nyanya, matango maharagwe mabichi, bilinganya na vyakula vingine vyenye asili hii.
4.MGONJWA ANAPASWA ATUMIE SAMAKI WABICHI KWA WINGI.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni