Happiness Massage Clinic 2026
0715343161
We bring back your Happiness
Massage ya Kichwa ina umuhimu mkubwa katika kuboesha afya ya binadamu, hasa ukuzingatia kuwa ni sehemu iliyobeba kiungo muhimu katika mfumo wa fahamu. Massage ya kichwa ikifanywa kitaalamu kwa kutumia mafuta maalumu ina faida zifuatazo:-
Massage ni ukandaji na usuguaji wa sehemu ya mwili (ngozi, tishu, misuli) kwa kutumia mikono au mashine maalumu. Huduma hii hutolewa kwa lengo la:-
Kama ilivyo ada ni wajibu wetu kukuelimisha wewe msomaji wetu.
Ni wajibu wetu kukuelimisha juu ya njia bora za kuboresha
Afya yako ili iimarike na uweze kuishi kwa furaha, kumbuka afya ni uhai, pasipo afya
njema hakuna raha tena ya kuishi. Kila kilichokuwa kwako kizuri na cha
kufurahisha kinageuka na kuwa kibaya.
HISTORIA YA MASSAGE Historia ya massage(uchuaji) inatokea mbali takribani miaka 5000 iliyopita miaka ambayo massage(uchuaji) ilikuwa ni njia kuu katika matibabu ya magonjwa mbalimbali.Si magonjwa ya viungo tu bali pia hata magonjwa mengine Michoro ya mapangoni inayopatikana sehemu mbalilmbali Duniani ni ishara/dalili tosha inayothibitisha kuwa tiba hii kongwe(ya massage) ilianza miaka